Hii ndio dell xps 18 (all in one), tablet ya windows 8, ikiwa na uwezo wa chini kwanzia intel pentiuh hadi intel core i7, uwezo wa ram hadi 8gb na hdd hadi 500 gb. pamoja na hayo ina kioo cha IPS cha inchi 18 chenye uwezo wa full HD (1920x1080), zaidi ya yoote huweza kutumika kama destop ikiwa na stendi yake maalum
Pata habari zote mpya kuhusu vifaa mbalimbali vya elektroniki, zikiwamo simu za mkononi, tablets, stereo headsets, laptops na nyingine nyingi kutoka duniani pote.
Sunday, 12 May 2013
Samsung Mobile Tanzania kwa kupitia ukurasa wao wa facebook wametangazi simu yao mpya ijulikanayo kama Galaxy S4 sasa inapatikana katika maduka yao kwa bei ya shillingi za Kitanzania milioni moja na laki tatu (Tshs 1,300,000). Swali la sasa ni, je simu hii itapata mapokeo kama ilivyopata toleo lake la awali (Galaxy S3)?
Oppo find 5
Oppo Find 5, simu yenye uimara mkubwa na uwezo mkubwa kuweza kupanmbanishwa na Samsung Galaxy S4.
Simu hii imetengenezwa kwa chuma (stainless steel) ikiwa na kioo cha IPS LCD inchi 5 na 1080p, ram 2gb na quadcore processor (prosesa 4) zikiwa na spidi ya 1.5Ghz. inatumia toleo la android la jellybean 4.1, na camera ya 13mp.
Simu hii imetengenezwa kwa chuma (stainless steel) ikiwa na kioo cha IPS LCD inchi 5 na 1080p, ram 2gb na quadcore processor (prosesa 4) zikiwa na spidi ya 1.5Ghz. inatumia toleo la android la jellybean 4.1, na camera ya 13mp.
Saturday, 11 May 2013
Karibu (welcome)
Karibu katika ulimwengu wa android na teknolojia, uijue simu yako na nyingine nyingi pamoja na vifaa na matumizi ya ziada zilizo katika simu hizo. Jiunge nasi ili upate kujua zaidi ya kawaida ni jinsi gani unaweza kuitumia simu yako na vitu gani vitakurahisishia mambo hayo.
Subscribe to:
Posts (Atom)



