Sunday, 12 May 2013

Oppo find 5

Oppo Find 5, simu yenye uimara mkubwa na uwezo mkubwa kuweza kupanmbanishwa na Samsung Galaxy S4.
Simu hii imetengenezwa kwa chuma (stainless steel) ikiwa na kioo cha IPS LCD inchi 5 na 1080p, ram 2gb na quadcore processor (prosesa 4) zikiwa na spidi ya 1.5Ghz. inatumia toleo la android la jellybean 4.1, na camera ya 13mp.

Hii ni katika ya simu za kichina zilizotengenezwa kwa hali ya juu na kuifanya kuweza kushindanishwa na simu za makampuni kama samsung, sony, nokia na lg kwani ina uimara wa hali ya juu sana. Pamoja na hayo bei yake ni chini kuliko simu zenye uwezo sawa nayo ikiwa inauzwa takribani dola 500 ya kimarekeni, sawa na shillingi za kitanzania 800,000 ukilinganisha na simu kama Samsung Galaxy S4 inayouzwa shillingi za kitanzania 1,300,000.

No comments:

Post a Comment