Samsung Mobile Tanzania kwa kupitia ukurasa wao wa facebook wametangazi simu yao mpya ijulikanayo kama Galaxy S4 sasa inapatikana katika maduka yao kwa bei ya shillingi za Kitanzania milioni moja na laki tatu (Tshs 1,300,000). Swali la sasa ni, je simu hii itapata mapokeo kama ilivyopata toleo lake la awali (Galaxy S3)?
No comments:
Post a Comment